Content removal request!


Highlights | Kagera Sugar 3-1 Coastal Union - VPL 18/12/2020

Timu ya Coastal Union imechezea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa leo Uwanjwa wa Kaitaba, Bukoba. Coastal wametangulia kupata bao kwa penati kupitia kwa Abdul Suleiman huku Kagera wakipa mabao yao kutoka kwa Nassor Kapama, Peter Mwalyanzi na Sadat Mohamed Nanguo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz