KLABU YA YOUNG AFRICANS IMEINGIA ANGA ZA KUWANIA MCHEZAJI NA KLABU NGULI KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI TP MAZEMBE, HUKU IKIJIAMINI KUSHINDA VITA. TIMU YA USAJILI ILIYOWEKA KAMBI MJINI KINSHASA TANGU JUMA LILILOPITA IMEENDELEA KUTUNISHIANA MSULI NA WAJUMBE WA TP MAZEMBE AMBAO WANAPAMBANA KUIPATA SAINI YA MCHEZAJI WANAYEMUWANIA! -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #tpmazembe #usajili bongo