Content removal request!


Ihefu SC 1-1 JKT Tanzania | Highlights - VPL 06/12/2020

Timu ya JKT Tanzania imeilazimisha sare ya bao 1-1 Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo Sokoine, jijini Mbeya. Ihefu wametangulia kupitia kwa Joseph Kinyozi lakini JKT wakasawazisha kwa bao la maajabu dakika za majeruhi kupitia kwa Hassan Twalib kwa makosa ya golikipa Andrew Kayuni. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz