Mnyama Simba baada ya kuwatupa nje Plateau United ya Nigeria kwenye #CAFCL, leo wameanza ‘tizi’ kwa ajili ya mechi zao tatu za #VPL dhidi ya Polisi Tanzania, Mbeya City na KMC kabla ya kukabiliana na FC Platnum ya Zimbabwe kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz