VITASA NIGHT: Hussein Itaba ‘amechakazwa….’, Tazama mwenyewe vitasa alivyochezea kutoka kwa Joseph Maigwisa akikubali ‘KO’ raundi ya tano. Je, kwa ngumi hizi, unatoa ushauri gani kwa mabondia? Ni Usiku wa Vitasa ‘Sio Kinyonge’, kwenye Dimba la Kinesi Dar es Salaam na hili ni moja kati ya mapambano ya utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Nassibu Ramadhan vs Loren Japhet LIVE #AzamSports1HD