Content removal request!


MAMBO MAGUMU: YANGA YAOMBA SULUHU TFF/ FEISAL KUVUNJA SAFARI YA DUBAI/ AITWA FASTA DAR/ TFF YARIDHIA

Uongozi wa Young Africans kupitia kwa Afisa Mtendaji Mkuu Andre Mtine, umewasilisha Barua ya mashtaka kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, ili wamuite Fei Toto kwa ajili ya kuzungumzia sakata lake la kuondoka Kambini na kutaka kuvunja Mkataba. ------ Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #feitoto #yangasc #tff