Content removal request!


AZAM TV - FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 3-0 MWADUI FC

Mabao ya Emmanuel Okwi dakika ya 7 na 67, pamoja na lile la John Bocco la dakika ya 72, yanaipa Simba ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa VPL.