Content removal request!


Simba vs Majimaji | Kosakosa za hatari | ASFC 27/12/2020

KOSAKOSA – SIMBA VS MAJIMAJI: Simba walishinda 5-0 lakini zipo nafasi za wazi walizotengeneza. Tazama kosakosa kutoka kwenye mchezo huo wa raundi ya tatu Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa, halafu sema matokeo yangekuwaje endapo nafasi hizi zingetumiwa na timu zote mbili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz