Leo inapigwa mechi moja ya kiporo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, Mabingwa watetezi Simba SC wakiwaalika Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Huu hapa ni uchambuzi kuelekea mchezo huo, Ahmed Ally akiwa na Rashid Seif pamoja na Ally Kamwe. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz