Content removal request!


BARAKA MPENJA AMTAJA MAYELE/ATETEMA KAMA MAYELE/APAGAWA NA KIWANGO CHA SURE BOY/NDIO NYOTA WA MCHEZO

Leo Machi 19 2022 Mpenja Tv tupo Uwanja wa Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Yanga Dhidi ya KMC. . Mchezo ambao unaambatana na Sherehe za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Rais wa awamu ya 6 wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii . . #yangasc #kmc #mpenjatv