Mwamuzi mstaafu w Osman kazi ameyachambua matukio yote yenye ukakasi wa maamuzi kwenye mechi ya fainali ya Azam Sports Federation Cup #ASFC kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC. Mchezo huo ulipigwa Julai 25, dimbani Lake Tanganyika Kigoma na Simba kuiibuka mshindi kwa matokeo ya 1-0. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz