Content removal request!


Highlights | Nyasa Big Bullets 0-0 Yanga SC | Mechi ya Kirafiki 06/07/2023

Ni mechi ya kimataifa ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Malawi, imepigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe Malawi. Mechi hiyo imeshuhudia Yanga SC kutoka Tanzania wakilazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji wao Nyasa Big Bullets. Haya ni baadhi ya matukio makuu kwenye mchezo huo ulikuwa mbashara #AzamSports1HD #MalawiAt59