Tazama jinsi Yanga ilivyoibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam, leo 09/03/2018. Mabao yote matatu yakifungwa na Ibrahim Ajib, Yusuf Mhilu na la kujifunga kutoka kwa Juma Shemvuni ndiyo yaliyoipa Yanga SC ushindi wa 3-0, haya hapa