Content removal request!


SHOMBO SHABIKI WA SIMBA SC SAKHO NI JESUS MOLOKO KUMI NA MBILI

SHOMBO SHABIKI WA SIMBA SC SAKHO NI ZAIDI YA WACHEZAJI KUMI NA MBILI Kumekucha! Nusu Fainali ya Kwanza ya Kombe la Mapinduzi Cup 2022 ni leo jioni Januari 10 kati ya Azam FC na Mabingwa watetezi Yanga SC, Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Nusu Fainali ya pili inachezwa usiku wa leo kati ya Miamba ya soka Tanzania, Simba na Namungo FC maarufu Wauaji wa Kusini. Timu gani kutinga fainali?…….. Mpenja TV tupo hapa Zanzibar kukupa Updates zote za michezo yote ndani ya uwanja wa Amaan Zanzibar. #MapinduziCup2022 #NusuFainali #AzamFCvsYangaSC #SimbaSCvsNamungoFC #MpenjaTV