Content removal request!


Magoli | Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League 09/11/2023

Simba SC imebanwa mbavu na Namungo FC wakilazimishwa sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Namungo wametangulia kufunga kupitia kwa Reliants Lusajo dakika ya 29 na Simba kuchomoa dakika ya 75 kupitia kwa Jean Baleke.... Haya hapa magoli....