Content removal request!


NBCPL STAR : Kapombe aikumbuka mechi dhidi ya Azam FC kwenye NBC Premier League

Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe ameitaja mechi dhidi ya Azam FC dimbani Azam Complex ya kwamba imebaki katika kumbukumbu yake kwa msimu wa 2021/2022 wa NBC Premier League ambapo yeye alitoa pasi ya goli lililofungwa na nahodha wake John Bocco. Kapombe ameitaja mechi hiyo iliyopigwa Mei 18, 2022 dimbani Azam Comple na kutoka sare ya 1-1, ni kwamba ndio mechi ambayo alicheza dakika 90 dhidi ya timu yake ya zamani ya Azam FC