Content removal request!


TAMBO ZA AHMED ALLY: GOLI LA SAKHO HALINA THAMANI, B.O.T ITAMLIPA MPAKA ANAKUFA"

#Mnyama Simba leo March 13, 2022, anatupa karata ya nne ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morroco, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja TV, tuko Dimba la Mkapa kukupata habari zote za kabla na baada ya mechi kwa Weledi wa hali ya juu kabisa. Tafadhali endelea kabaki na sisi…. #SimbaSCvsRSBerkane #Simba #RSBerkane #KombeLaShirikishoAfrica #BenjaminMkapaStadium #CAF #MpenjaTV