Content removal request!


Higlights | Simba 0-0 Mlandege | Mapinduzi Cup – 07/01/2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Mlandege ikiing’ang’ania Simba SC kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi kwa kutoka suluhu (0-0) japo vijana wa Msimbazi wamesonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ya Mapinduzi Cup kwa jumla ya pointi nne.