Content removal request!


Rais Kenyatta atuma ujumbe maalum Tanzania kuhusu matamshi ya chuki ya Jaguar

Serikali ya Kenya imetuma ujumbe maalumu kwa Rais Dkt. John Magufuli unaoelezea msimamo wa Serikali ya nchi hiyo kuhusu kukerwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Mbunge wa jimbo la Starehe, Charles Njagua Kanyi maarufu kwa jina la Jaguar. #AzamNews #UTV #AzamTVUpdates