Content removal request!


Simba SC ilivyokalishwa chini 3-2 na Mbao FC Uwanja wa Taifa

Mnyama Simba leo amekwaa kisiki cha Mbao baada ya kubamizwa mabao 3-2 na Mbao FC kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mchezo wa ligi kuu Tanzania bara (VPL). Magoli ya Mbao yamefungwa na Rajab Rashid, Wazir Jr na Jordan John huku magoli ya Simba yakifungwa na Medie Kagere na Miraji Athuman. Hii ni mara ya kwanza kwa Simba kuruhusu mabao zaidi ya mawili msimu huu, na ni mara ya kwanza Simba kufungwa na Mbao kwenye uwanja wake wa nyumbani. VPL 16/07/2020 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz