Content removal request!


Highlights | Singida Big Stars 1-2 Mlandege FC | Fainali Mapinduzi Cup 2023 - 13/01/2023

Tazama mambo yalivyokuwa kwenye fainali ya #MapinduziCup2023 katika dimba la Amaan Zanzibar Mlandege ni mabingwa kwa ushindi wa mabao 1-2 Wafungaji ni Bashima Saite, Abdulnassir Mohamed kwa upande wa Mlandege na Francy Kazadi kwa upande wa Singida Big Stars