Content removal request!


Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: BENIN 1-1 TANZANIA (12/11/2017)

Taifa Stars imeilazimisha Benin sare ya bao 1-1 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa leo nchini Benin. Bao la Benin limefungwa kwa penati dakika ya 30 huku Stars wakisawazisha dakik ya ya 50.