Content removal request!


MAGOLI: NAMUNGO FC 2-1 NDANDA SC (VPL - 24/8/2019)

Namungo FC imeanza vyema msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwachapa ndugu zao wa Ndanda SC mabao 2-1 katika Uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa mkoani Lindi. Mabao ya Namungo yamefungwa na Lucas Kikoti dakika ya 43 na 84 huku bao la Ndanda likifungwa na Omary Isa dakika ya 72.