Content removal request!


Bao pekee la Mbao FC ikiichapa Mtibwa Sugar 1-0 CCM Kirumba; (TPL - 21/10/2018)

Mbao FC leo imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Bao pekee la Mbao limefungwa na Said Khamis Jr dakika ya 48 kwa mtindo wa tikitaka. Litazame.