Content removal request!


VIWANJANI 26/4/2019: Kilichoipa Simba ushindi dhidi ya Alliance na KMC (UCHAMBUZI)

Miongoni mwa matukio ya kimichezo yaliyobamba wiki hii ni mechi mbili za Simba ikicheza na Alliance, kisha ikacheza na KMC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na kushinda zote. Je, nini kimechangia matokeo hayo? Wachambuzi wetu Abdulkadir Seif Qudabash na Athuman Bemelengo wanafanya uchambuzi kwenye Kipindi hiki cha Viwanjani. Mbali na hilo, pia kipindi hiki kimeangazia fainali za AFCON kwa vijana #AFCONU17 zinazoendelea nchini. #Viwanjani ni kila Ijumaa saa 3:30 usiku #AzamSports2