Kosa moja, Goli moja... Ndicho kilichomkuta golikipa wa Ihefu, Fikirini Bakari mbele ya Fiston Mayele aliyeifungia Yanga goli pekee kwenye mchezo huu akitumia makosa ya golikipa huyo.... Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama kilichotokea