Content removal request!


Highlights | KMC 1-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League - 28/12/2021

Goli la dakika ya mwisho kutoka kwa Carles Ilanfya limeiokoa KMC kutoka mikononi mwa Ruvu Shooting kwa kufanya mechi imalizike kwa sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huo wa #NBCPremierLeague , Ruvu walitangulia kwa goli la Ally Kombo dakika ya 23.