Content removal request!


Magoli yote | Azam FC 4-1 Gwambina FC | VPL 18/06/2021

AZAM VS GWAMBINA: Magoli mawili ya Idd Seleman Nado na mawili ya Mpiana Monzinzi Platini yameipa Azam FC ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Gwambina FC, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la Gwambina limefungwa na Baraka Mtuwi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz