Content removal request!


'MO' AKUBALI KUMUUZA MIQUISSONE?/ DAU KUBWA SANA!/ MBADALA WAKE SAFI

MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA WAMEJIINGIA KWENYE MAWAZO YA KUMUUZA AMA KUTOMUUZA MSHAMBULIAJI WAO KUTOKA NCHINI MSUMBIJI, HUKU AL AHLY WAKISUBIRI MAJIBU YA DAU WALILOWEKA KWA MABINGWA HAO WA VPL NA ASFC. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #miquissone #alahly