Haya ni mazoezi ya Simba SC leo Oktoba 22, 2021 katika uwanja wa Boko Veterani Jijini Dar es salaam wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2020 uwanja wa Benjamin Mkapa. #SimbaSC #JwanengGalaxy #MpenjaTV