Yacouba Songne amefunga goli pekee na kuipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama goli lenyewe akimalizia kwa kichwa krosi ya Adeyum Saleh. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz