Content removal request!


TOYOTA CUP | Chama atoa neno baada ya Yanga kuichapa 4-0 Kaizer Chiefs

#ToyotaCup: “…..kila kombe ni muhimu” – Clatous Chama kuhusu mchezo wa leo, azungumzia hali ya hewa, awakaribisha wananchi kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi. FT: Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’) Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs