Seif Abdallah Karihe ameifungia Dodoma Jiji goli pekee na la ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar, ikiwa ni dakika moja pekee tangu aingia dimbani akitoka benchi.