Content removal request!


Yanga SC 1-3 APR FC | Magoli | Mapinduzi Cup - 07/01/2024

Tazama magoli yote manne yaliyofungwa kwenye mechi ya robo fainali kati ya Yanga SC dhidi ya APR FC. Matokeo ni APR kuifunga Yanga SC 3-1 Magoli yamefungwa na Soulei Sanda, Mbaoma Victor na Sharaf Eldin Shaiboub kwa upande wa APR. Goli la Yanga limefungwa na Jesus Moloko