Azam FC imehitimisha hatua ya makundi #CecafaKagameCup kwa kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa KMKM, mchezo ukipigwa Azam Complex, Chamazi.