Content removal request!


Azam TV - CECAFA2017: FULL HIGHLIGHTS: ETHIOPIA 1-1 UGANDA

Hivi ndivyo mabingwa watetezi wa michuano ya CECAFA walivyofuzu hatua ya nusu fainali kwa bao la kusawazisha dakika ya 85 dhidi ya Ethiopia baada ya kutanguliwa dakika ya 22. Mchezo umepigwa katika dimba la Bukhungu, kaunti ya Kakamega nchini Kenya, leo Desemba 10, 2017.