Azam FC yapata ushindi mwembamba nyumbani dhidi ya 'Wajelajela' Tanzania Prisons na Dulla Mbabe kuzichapa na Cheka? Promota wake amezungumza nasi kutokea studio za MSHIKEMSHIKE. Majibu ya maswali yote sambamba na habari za Ligi Kuu Bara, Patrick Nyembera anakuletea zote.