Content removal request!


TAJIRI ASHTUKA SIMBA/ AINGILIA USAJILI/ WAKALA AITWA DUBAI/ HAKUNA KINACHOSHINDIKANA/ TUTAMSAJILI

Klabu hiyo ya Cameroon, inaelezwa awali ilichomoa ofa ya Simba ya Dola 40,000 (zaidi ya Sh 96 milioni) ya kutaka kumnunua mchezaji huyo, ikidai thamani ya mchezaji huyo ni Dola 100,000 (zaidi ya Sh 223 milioni). -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #modewji #cameroon