Simba SC yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania kwa ushindi wa kishindo dhidi ya Mtibwa Sugar na Heritier Makambo "achomoka" Yanga SC na kukimbilia Afrika Magharibi. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Fatma Abdallah Chikawe kwenye Mshikemshike Viwanjani.