Simba 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 20/08/2023
Jean Baleke na Moses Phiri wamefunga magoli mawili muhimu na kuipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.