Baada ya mshambulizi ya muda mrefu hatimaye Michael Chinedu alieingia kutoka benchi aliipa kashikashi safu ya ulinzi ya African Lyon na kuisawazishia timu yake ya Alliance FC dakika za nyongeza. Ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Mwanza.