Content removal request!


ALLY KAMWE AMWAGIKA KWA MKAPA/WANANIIGA SANA/YULE PACOME SIO KAWAIDA/MIMI NI MWENYEKITI WAWASEMAJI.

Leo Decemba 20,2023 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaowakutanisha Yanga SC dhidi ya Medeama FC katika uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 10:00 Jioni, Mashabiki wamefunguka kujiamini kupata ushindi katika mchezo wao huo lakini wamekazia bado wanamatumaini ya kufuzu hatua ya Robo Fainali katika michuano hiyo.