Content removal request!


LIVE: MAPOKEZI YA YANGA 'AIRPORT' WAKITOKEA ALGERIA KWENYE FAINALI YA CAF CC - 04/06/2023

Yanga inawasili muda huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam ikitokea nchini Algeria kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger. Katika mchezo huo, Yanga ilishinda bao 1-0 lakini ikaukosa ubingwa kwa hasara ya goli la ugenini kufuatia kichapo cha mabao 2-1 ilichokipata nyumbani. Matangazo haya yako mbashara pia #AzamSports1HD #AzamTVUpdates #Yanga #YoungAfricans