Content removal request!


Goli la Marcel Kaheza | Dodoma Jiji 1-0 Gwambina - VPL 12/12/2020

Timu ya Dodoma Jiji leo imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Goli pekee la Dodoma Jiji limefungwa na Marcel Kaheza dakika ya 45. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz