Simba 2-0 Coastal Union | Pata burudani ya kabumbu safi lililopigwa Uwanja wa Taifa - Highlights
Vinara wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wagosi wa Kaya Coastal Union kwa mabao ya Mbrazil Gerson Fraga dakika ya 8 na 78. Mechi imepigwa leo 01/02/2020 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.