Yamefungwa magoli sita.... Geita Gold FC ikiitandika Tanzania Prisons mabao 4-2 kwenye Uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya.