SIMBA VS COASTAL UNION: Ilikuwa ni mechi dume iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana kati ya mabingwa watetezi, Simba SC dhidi ya Coastal Union.