Nahodha wa Simba John Bocco alipoifungia Simba bao la kwanza kwa mkwaju wa penati baada ya Shiza Kichuya kuchezewa madhambi ndani ya boksi dakika ya 41. Ni mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara ukipigwa kwenye dimba la Kambarage mjini Shinyanga leo Septemba 23, 2016.