Content removal request!


🔴#LIVE: MAYELE ATETEMA NA KOMBE MAKAO MAKUU YA SIMBA/MSIMBAZI YATEKWA NA WANANCHI KWA MUDA/BUGATI

Jumapili June 26, 2022 Sikukuu ya Wananchi Yanga Ambapo Leo Wanataraji Kupokea Kombe lao La 28 walilokabidhiwa Jana katika Uwanja wa Sokoine Mbeya Timu ya Mpenja TV Imekita Kambi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Wa Julius Nyerere Kukusogezea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Hapa Asubuhi Hi Tunakuletea Hali Ilivyo Uwanja wa Ndege Huku Mashabiki Wakiwa Wamejitokeza na Wametusomea Vichwa vya Habari Kwenye Magazeti Ya Leo #MpenjaTV #YangaSC #YangaBingwa #KupokeaKombe #UwanjawaNdege #Kombe