Tabora United 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 02/02/2025
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya NBC Premier League kati Tabora United dhidi ya Simba SC.
Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 3-0,
Magoli yamefungwa na Leonel Ateba na Shomari Kapombe